Ilikuwa ni tarehe 7 julai kabla ya mwisho wa seimester kufika pale vijana wa kutoka school of informatics and communication technology (sict) kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam walipokutana kwenye bonanza la michezo katika viwanja vya mabibo hostel
Michezo mingi ilikuwepo ikiwemo mchezo wa soka ,riadha ,kufukuza kuku kwa wavulana na wasichana,mashindano ya kula chakula kwa haraka,na vile vile mashindano ya kunywa soda huku washindi wakizawadiwa zawadi mbalimbali sasa liangalie bonanza katika picha
July 28, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment